Kuhusu Sisi
Mwanzo / Kuhusu Sisi
TWV Strategic Solutions Limited
Tunaongeza thamani kwa kila mnufaika wa huduma zetu
TWV Strategic Solutions Limited (TSSL) ni kampuni binafsi ya Kitanzania iliyoanzishwa kutoa suluhu za kimkakati zenye kuongeza thamani katika mafunzo, ushauri wa kitaalamu na utafiti kwa mashirika ya umma, binafsi na ya sekta ya tatu katika sekta zote muhimu za uchumi wa taifa. Wakurugenzi wake wana uzoefu wa zaidi ya miaka 50 kwa pamoja wa kutoa suluhu za kimkakati za moja kwa moja.
Wataalamu wetu wana uzoefu wa zaidi ya miaka 50 kwa pamoja katika kutoa suluhu za kimkakati kwa mashirika ya umma, binafsi na sekta ya tatu.
