loading
SW EN
TSSL

Huduma Zetu

Mwanzo / Huduma Zetu
ELIMU | KILIMO | IMANI | AFYA

Uwezeshaji wa Mipango Mkakati

TSSL huwezesha mashirika, taasisi na jamii katika Elimu, Kilimo, Imani na Afya kuandaa mipango mkakati kupitia mfumo wa usajili.

Soma Zaidi β†’
ELIMU | AFYA | IMANI | KILIMO | JAMII

Uhamasishaji wa Rasilimali

TSSL husaidia mashirika na jamii kuhamasisha rasilimali kwa ajili ya miradi katika Kilimo, Elimu, Afya, Imani na Jamii kupitia usajili wa muda maalum.

Soma Zaidi β†’
ELIMU | KILIMO | IMANI | AFYA

Ubunifu wa Miradi na Uandishi wa Andiko

TSSL husaidia kujenga uwezo wa kubuni, kupanga na kuandika maandiko ya miradi ya maendeleo kupitia mbinu shirikishi.

Soma Zaidi β†’
MIPANGO | MIRADI | PROGRAMU | MIKAKATI

Huduma za Tathmini

TSSL ina uzoefu mkubwa wa kutathmini mipango, miradi, programu na mikakati ya mashirika ya umma, binafsi na sekta ya tatu.

Soma Zaidi β†’