Ubunifu wa Miradi na Uandishi wa Andiko
Mwanzo / Huduma Zetu / Ubunifu wa Miradi na Uandishi wa Andiko
ELIMU | KILIMO | IMANI | AFYA
TSSL husaidia kujenga uwezo wa kubuni, kupanga na kuandika maandiko ya miradi ya maendeleo kupitia mbinu shirikishi.
β’ TSSL itasaidia timu iliyoteuliwa na mteja kuandaa hadi maandiko 3 ya miradi
β’ Siku 20 kamili (saa 160) zilizogawanywa katika awamu tatu (siku 10, 4 na 6) zinahitajika
β’ Mbinu ya kujenga uwezo iliyojengwa juu ya KUJIFUNZA, KUFANYA MAZOEZI na KUTENDA itatumika kuhakikisha uhamishaji laini wa ujuzi
β’ Mchanganyiko wa warsha za ndani na nje utatumika kupata matokeo
β’ Hadi saa 16 za msaada wa mtandaoni zitatolewa na TSSL baada ya kukamilika kwa andiko